Selfika na JF: Snap it. Show it

Ankal ifike muda unipe badge kwenye hili uzi lako 😹😹😹

Mana hivi kuna memba anapitia hekaheka km mimi humu? 😹

Wanagombana wengine na mabwana zao ban napewa mimi 😹

Nikiselfika natafutiwa app za kuangalia pic zangu ili wanijue khaaaa..!!

Nikigeuka huku pawa mabula naye anataka nichukiane na watu bila sababu kisa yeye ana kisirani chake..!! 😹😹

Hebu tambika tena na uumwagie makombe na uufushe uzi huu..!!
 
Imeisha iyo ankal
 
Malengo asili ya SELFIKA

Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…