Asantee!Koh koh π€, njoo tunywe kahawa basi
Ndio wa kule kabisa!Kwani yeye pia ni wa kule? Akiwa mkweli atasema, wale mabinti ni hatari π π
Bila hivyo utadharaulika
Kumbe huyu mzee kapagawa tuπUongo bwana,,, ntuzu na madawa ya mapenzi wapi na wapi
Usiwaze kabisa!Hayo ndiyo maneno sasa π€
Utakuta nakusubiri barazani huku nakunywa ile juice yangu
Nakuzoom tuπAisee, good night π
Alhamdulillah, I hope Pande izo za Tanga pia mko poa.Nakusalimia pia.uko poa
Kumbe una asili ya kule, au nilionjeshwa asali maalumu nini π€Uongo bwana,,, ntuzu na madawa ya mapenzi wapi na wapi
Nimemwambia!Bila hivyo utadharaulika
Kabisa kabisa karibu Tanga nikuandalie maji ya kuoga yenye viungo vya kutoshaπAlhamdulillah, I hope Pande izo za Tanga pia mko poa.
πAsantee!
Nitaenda naye polepole anipe Siri, what real happened to meNdio wa kule kabisa!
Ng'ombe 100, hivi hadi miaka hii wanahitaji hao hao 100?Nimemwambia!
Ya wapi ya sinza Palestine au nina njaaπGolden Foki....!ππ
View attachment 3603131
Ni mikocheni hapo... Karibu sitammaliza samakiYa wapi ya sinza Palestine au nina njaaπ
Njoo golden folk ya Mikocheni hapa opp na AzamYa wapi ya sinza Palestine au nina njaaπ
Nimerudi kuangalia picha yes ya Sinza haipo hivyo enjoy mkuuNi mikocheni hapo... Karibu sitammaliza samaki
Niko hapo hapo ,MkuuNi mikocheni hapo... Karibu sitammaliza samaki
Na wewe upo hapoπNjoo golden folk ya Mikocheni hapa opp na Azam
Ya sinza kuna fujo za magari + watu wengi ila huku kuna utulivuNimerudi kuangalia picha yes ya Sinza haipo hivyo enjoy mkuu
Siku magari yatagongana ππNiko hapo hapo ,Mkuu
Hua muongo muongo ww mkuuNiko hapo hapo ,Mkuu