Selfika na JF: Snap it. Show it

Looh,huyu ni mdokozi aisee,
 
Hahhahaa na wajomba ndio kina nyie, kazi ipo🤣🤣
Kwa yale yaliyomo niliyoyaona, bila ng'ombe 100 haturuhusu wakuchukue mjukuu

Na ndiyo maana wale Vijana wa nyumba za jirani walikuwa hawaachi kuja kununua ice cream kumbe ilikuwa janja yao ya kuja kukuona 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…