Selfika na JF: Snap it. Show it

We wanaokuita shemeji wakae nawe kwa makini sana maana sio kwa chumvi hizi,
Nyie ndio mnakuwa mnatwambia shemeji huyu hapindui kwako, kumbe umetoka kumsindikiza kwa mwingine πŸ˜‚
Maka niamini mimi wewe ni mkaka mzuri sana una vitu zangu, sijui kwann sijakusikiliza pm nikakujibu shit πŸ˜”

Yani wewe ni wale wakaka tuliokuwa tunarusha ngumi skonga kukugombania..! 😹😹😹

Halafu wewe au bhasiii……!!

Em tupia naked nyingine bhana..!!
Namna makaveli 2pac wetu wa JF 😍
 
Alikua naked kumbee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…