Selfika na JF: Snap it. Show it

Pic yako nimesave na ya Ambition nimesave. Nataka niwaweke kwenye album yangu wakaka wazuri wa mwaka wa mbele..!!

Yani km ndinga basi Maybach 😹
We wanaokuita shemeji wakae nawe kwa makini sana maana sio kwa chumvi hizi,
Nyie ndio mnakuwa mnatwambia shemeji huyu hapindui kwako, kumbe umetoka kumsindikiza kwa mwingine πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…