ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,556
- 41,649
Ndio ujifunze kutulia siku nyingineMwanzo nilikuwa nauona trending ila sioni hizo picha π
MtesiMwanzo nilikuwa nauona trending ila sioni hizo picha π
Baba tamu hana baya πΉπΉππππ nakuambiaaa, tuache bipolar za kiwakiii..
Muhimu upendwee hadi ufungiwe, sasa ngenga zitatoka wapiii??
Dah atamuua nae kazidi ku mpea yote aanze kumpunja kama vip eboooAna mpare wake ana miwivu huyo balaa πΉπΉ
Mvuvi haramu uliona eehh πΉπΉππππ nakuambia, afu ana makusudi huyu ni mvuvi haramu.
LabellaUmefanya mpk nisimame nipige ili uone khaaa..!! πΉπΉ
Siti ya mbele nipo nimetuliaNdio ujifunze kutulia siku nyingine
Vp babu tulia huku sikujui πMtesi
Acha tu!Wanakupa hamasa ushushe lako
πΉπΉπΉ mfyuuuu..!!Hey Wajaa!!
Mtunza masijara wa JF, Ndio niko winja winja hapaa.
Mfanye kuweka hizo picha nilizopitwaa, ili ziwekewe kwenye hansard za Selfika.
ππππ
Kumbe mna save kwenye gallery zenu πΉπΉMie ya mshamba nime inyaka dakk za jiniiii ipo kwenye gallery π€£π€£π€£
Kaumba nini hapo πΉπΉπΉMungu kaumbaaaaaaaa β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Tutajuana room kesho npo na weweVp babu tulia huku sikujui π
πΉπΉπΉ Tusamehe haturudii tena..!!Nilale sasa humu mtanipoteza ππ
Nime save ya mshamba aiseeeKumbe mna save kwenye gallery zenu πΉπΉ
πΉπΉπΉ kojo la yutiayiNakuambiaa full kupokezana kojo zitoo.
ππππ
Tuache utani umzuri dada β€οΈKaumba nini hapo πΉπΉπΉ
Kujazana sitaki
πΉπΉπΉ Hawezi huyo yeye mwenyewe kakoleaDah atamuua nae kazidi ku mpea yote aanze kumpunja kama vip ebooo
Abeeh πΉ
Kusikia hivi huku nalala kama panga inauma sanaπΉπΉπΉ Hawezi huyo yeye mwenyewe kakolea