Shukran mkuu π appreciate thatπHii sasa ndio nakeeeeed yenyewe ππ
Gentleman la mwaka wa mbele awww π₯π₯
Kuna wakaka wazuri humu halafu hamringi mko smart..!!
Nikiunganisha na tabia zako wewe ni Barack Obama wa JF ππ
Msiache kutupia pic kali km hizi tupunguze visirani wadada jamani..!!
Hapa nitalala vizuri shem, coca mume kapata Igweeeeeeeeeeee π«‘
Mkuu sifa ya wakinga ni ipi...,πNimeona uko π₯π₯π₯
Hujasimama ila nimeona wewe ni super tall mmoja mwenye misimamo yake..!! πΉ
Hauna nyingine hapo utupie π₯°Shukran mkuu π appreciate thatπ
Mpo vizuri nyinyi mnafanya kwenye uzi tusikaukeπ
Muendelee kutubariki π₯
Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki πΉπΉπΉMkuu sifa ya wakinga ni ipi...,π
Nilikuambia me ni half mkingaπGenes zetu unazijua
Chupa moja ya ziada by Dizasta Vina πJagermaster jagermaster
Dear gambeChupa moja ya ziada by Dizasta Vina π
πππSijui Mungu aliweka nini hizo confidence sijui huwa zinatoka wap...Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki πΉπΉπΉ
Hivi kwanini wakinga tunajiamini sana? πΉ
Upo km Vunja bei kila kitu, Hivi ni kwamba muda wote mnafikiria pesa au? πΉ
Acha basi kibibi ππaiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu β€,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu
uwiii hivi nimeandika nini,, jamni namaanisha mdogo wangu nimepagawa bwanaπππππAcha basi kibibi ππ
Huyu sio msukuma kweli π€£π€£π€£aiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
Aiseew unajua kuchagua! Au yeye ndio kakuchagua? Kifupi mmechaguana kwa kupendeleana sanaππ€Έπ½ββοΈaiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
Huibiwi na mtu mamaβake kila mtu anashikilia koloni lake humuπ€uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu β€,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu
Kuwake familiaπ₯Dear gambe
Why msukuma!π€£Huyu sio msukuma kweli π€£π€£π€£
Nasema ila naogopa
Hakuna wakuniiba ..uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu β€,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu