Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo umefanya hivyo kwenye picha zanguπŸ€”
With all due respect, Yo Daddy prefers not to answer this question πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

➑️ Hapana. Hiyo feature kwenye image engine nyingi ni mpaka ulipie. Ila ni vizuri kuchukua tahadhari. Kuweka emoji au swirls usoni eti usionekane ni kazi bure siku hizi. Ai is revolutionizing everything na ukiweka kitu mtandaoni watu wanaweza kukifanya cho chote wanachotaka. Ni vizuri kuwa waangalifu hasa enzi za AI.

Elon Musk ana kesi Ulaya maana kuna kipindi AI yake (Grok) ilikuwa inatumika kutengenezea picha za ngono ambazo ni realistic kabisa. Bahati mbaya baadhi ya sura zilizotumika zilikuwa za watoto. Wazazi wameenda mahakamani na nadhani atalipishwa mamilioni ya paundi!

We have to be careful dear πŸ™πŸΏ
 
YooooooπŸ₯°
Thank u Tonny πŸ’“
 
YooooooπŸ₯°
Thank u Tonny
 
Tuache kuselfika sasa..!
Bora umesema shem.

Ambition plus umeona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…