Huyo anakukwepa usimchombeze ๐นShemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperuka
Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone ๐๐Wewe mi sina bwana humu ๐น
Usije kufanya watu wakose mademu JF
Hutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!Dah leo nimejua kucheka uzuri sijihushi na issue za mapenzi mahi
Ohoo ShesRise_1 majaribu haya sio kabisa ๐Wanymwezi tuna upali shida iko wapi? ๐น
Imeisha hiyoooOya nilikuwa busy na msosi, sijaona ulivyo ruka
ManenaHutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!
๐๐๐๐Hutakiwi kufokewa upewe pesa na mahaba tu! Warembo km nyie wachache sana..!!
Achana na ukorofi na mabifu yasiyo na kichwa wala miguu. You look so peaceful and wise. Wewe ni kimbilio kwa viumbe wanaoteswa na dunia. Siyo tena nawe unaungana kwenye ukorofi. Hapana kwa kweli. Mi nitapambana Mpaka ubadilike! ๐Wewe sijui wangapi unasema hivi so inabidi niweje sasa๐
Asante lakini
Bhana wee vidimple vya kuombea vocha ๐น๐น๐นAww, achachaa uko na dimples?๐
Utakapo kuja kwangu nitakuonyesha Yale yote unayoyataka kuona. Tafadhari nipe nafasi hio๐คญ๐Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue ๐น
Imekuaje mdogo wangu๐Ohoo ShesRise_1 majaribu haya sio kabisa ๐
Pole kwa kukutisha ๐ฅ๐Jiiiizozi! ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ
Eish ko unasusa?, fanya chao kabla sija sepa na attention za hukuImeisha hiyooo
Hapa ndipo mnapo haribu, wish you a nice eveningImekuaje mdogo wangu๐
We jamaa na Labela ni hivi๐ซกAchana na ukorofi na mabifu yasiyo na kichwa wala miguu. You look so peaceful and wise. Wewe ni kimbilio kwa viumbe wanaoteswa na dunia. Siyo tena nawe unaungana kwenye ukorofi. Hapana kwa kweli. Mi nitapambana Mpaka ubadilike! ๐
Njoo uniombe vocha๐Bhana wee vidimple vya kuombea vocha ๐น๐น๐น
Naijua hiyo ๐น๐น๐นWana Jamii forum njooooooooooooooooooooooooni muone Bismillah MashaAllah ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Kama ni hivi siselfiki tenaaaa
Nawe pia ๐คช๐Hapa ndipo mnapo haribu, wish you a nice evening
You will make me so happy ๐๐ฟAnyway naanza kua mpoleee
๐น๐น๐นWallah hebu fungulia watu hio private messages, kwanini lakini