Yaani na hizi mvua mixer hili baridi acha kabisa,, natamani ningekuwa na uwezo wa kulala masaa mengi ila ndiyo najikuta siwezi.. nahisi nitaanza kuwehuka soon
Karibu tusikilize muziki,, now playing Naogopa by Rayvanny.. nasinzia
Sent using
Jamii Forums mobile app