mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Mkuu una sura dekezi/baby face/emoji face๐
Ulivyokua kazuri sasa ๐ ๐ Mashallah kipenzi changu ๐ฅ๐ฅ๐ฅฐ
Basi nitalegeza nipe location ๐Sasa kazi itakushinda unapiga maboss ๐น
Mwenzio na uchizi wangu wote kwa wateja natulia wanipe maisha..!!
Acha chai zako ๐ ๐Mkuu una sura dekezi/baby face/emoji face๐
Asante sweetie๐Ulivyokua kazuri sasa ๐ ๐ Mashallah kipenzi changu ๐ฅ๐ฅ๐ฅฐ
๐น๐น๐น Uduguu wangu mzoee tu!View attachment 3602221
Sikufikii wewe maji ya kwanza, niko nasubiri kichambo cha kukosa nuru ๐ Coca kasema sisi vyeusi mangala ni machaguo ya pili huwa tunaonewa huruma tu ๐๐
Kajukuu kangu, anzeni tu kuniita bibi ๐
Ndio kusema ni katoto kake๐ซฃ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐น๐น๐น Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? ๐น
Mambo unayopenda hayo ๐นNitachukua kozi ya mishangazi kwa Binti wa zamani hautakuwa na haja ya kunipa orientation.
Binti nafutaaaaMambo unayopenda hayo ๐น
Halafu nilijua utakuwa katoto sana kumbe kakubwa bhana unafaa kwa matumizi..!! ๐น๐น
Sawa kakaKaka naona umesha shiba, wacha kelele ๐
Asante sanaPoleeeee
Kweli mkuu๐ Una kitu na utafika mbali.Acha chai zako ๐ ๐
๐๐๐๐
Huko mbali ni wapiKweli mkuu๐ Una kitu na utafika mbali.
Aloo sijui why naambiwa sifanani na maneno yangu ๐๐๐๐๐๐
Igweeeeeeeee
Una sura nzuri mashallah ๐คฉ
Umeolewa? Namuulizia kaka yangu apate jiko hili chap..!!
Sema sura yako haiendani na maandishi yako. Sura ya upole maneno sasa ๐น๐น
Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.Hehehee kunanini jamani uwii nacheka huku naogopa๐คก๐คก
leo dada nikuone dadaake
win-one nakudai
Binti wa zamani mamaake sijakuona kitambo๐ฅฑ
๐ ๐ ๐Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo kila mtu kaselfika humu.
Kuna wadada na wakaka ๐ฅ ๐๐ฝ acha tu!
Kama Kuna mkaka wa haja anayeeleweka namuomba chocho, hawa wadada wapite tu, apa tu nishalewa kimbwa nikikaa humu ntalimana block na wapumbavu bure!Wewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.
Kuna wadada na wakaka ๐ฅ ๐๐ฝ acha tu!
Nimeona aisee uko ๐ฅBasi nitalegeza nipe location ๐
Tayali nisha selfika huko juu