Kwendraaaa zako hata pm hamjanicheki mlivyo na roho mbaya shenz type π€£π€£π€£π€£Wee Mzab, ulipoteleaaa wapiii? Na kukaanga watu wanafiki kisa hawajakucheki PM kwiooo?
ππππ karibu tenaa.
Hahaha mimi siwezi kuongea uongo jamani, kama ww ni mbovu sikusifii utakunya bogaπ€£π€Έπ½ββοΈUzuri wa mtu upo machoni pa mtu hujui?π
Kuna siku nilikua nipo kwenye daladala naenda chuo, kwenye gari kulikua na mabinti wawili wamesimama nikiwazngalia hawajazidi 15yrs.
Mmoja alikua mzuri sanaaaaa muda wote namuangalia, mwenzake yupo kawaida halafu kavaa kitom boy flani hivi.
Niliposhuka na wao wakashuka, nikashindwa kuvumilia nikawasalimia nikamsifia yule mzuri nikamwambia wewe ni mzuri sanaaaa! Akawa anacheka huku anaona aibu.
Yule mwingine akawa kimya mpaka nikajishtukia ilibidi nimsifie tu na yule mwingine.
Kumbuka ni watoto chini ya umri kwanza kumsifia tu yule mzuri nilikosea ila nilishindwa kuvumilia alikua ni mzuri sanaaaa yaani saana.Hahaha mimi siwezi kuongea uongo jamani, kama ww ni mbovu sikusifii utakunya bogaπ€£π€Έπ½ββοΈ
Mimi mwwnyewe najua kuna sehemu watu wananinyali tu kwanini nisifie, huyo angenuna tu kwakweli.. lohπ€
Hee! Kumbe? Basi watoto wengi huwa wanaathirika katika umri mdogo sana maana ni wepesi kubeba jambo akilini na kuliweka moyoni! Hapo kama rafiki alikiwa mweupe halafu yeye ni mweusi huenda angeanza kujichubua! Kumbe wewe haukuwa na maana hiyo!Kumbuka ni watoto chini ya umri kwanza kumsifia tu yule mzuri nilikosea ila nilishindwa kuvumilia alikua ni mzuri sanaaaa yaani saana.
Yule mwingine aliingiwa na unyonge nisingemsifia na yeye, angeathirika kisaikolojia
Kuna siku natoka chuo natembea kwenda kupanda gari, nyuma yangu kukawa na wanachuo wengine kwa mambo yao nilihisi ni 1st year kushuka chini.Hee! Kumbe? Basi watoto wengi huwa wanaathirika katika umri mdogo sana maana ni wepesi kubeba jambo akilini na kuliweka moyoni! Hapo kama rafiki alikiwa mweupe halafu yeye ni mweusi huenda angeanza kujichubua! Kumbe wewe haukuwa na maana hiyo!
Wewe ephen_ nimechekaπ€£ ndiomaana wanakuitaga last born khaa! mimi ningewakata jicho hilooπ€£ eti Mungu akuoe vyote, kwakweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu,Kuna siku natoka chuo natembea kwenda kupanda gari, nyuma yangu kukawa na wanachuo wengine kwa mambo yao nilihisi ni 1st year kushuka chini.
Sasa bhana! Wakaanza kunong'ona mimi nawasikia "Mungu anajua kuumba, mmeona tako hilo dada ana umbo zuri huyu"
Mimi bichwa linavimba nasmile.
Kuna mmoja sasa akachafua hali ya hewa, nikikumbuka nacheka sanaaπ
Akaja kwa mbele yangu kwa style ya kunichungulia usoni, kumbuka mimi nipo mbele wao nyuma.
Yule mtoto alivyoniona usoni akarudi kwa wenzake huku anasema "Kweli Mungu hakupi vyote"
Nilitamani kucheka huku nilie ile kauli ilinipa mawaza nilimpigia simu rafiki yangu kumuhadithia akaanza kunicheka.
Nilienda kujiangalia sura hadi kwenye kiooπ€£
Watoto wajinga wale! Yule alokuja kuniona uso ndo kimbelembele!Wewe ephen_ nimechekaπ€£ ndiomaana wanakuitaga last born khaa! mimi ningewakata jicho hilooπ€£ eti Mungu akuoe vyote, kwakweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu,
wewe ukimuangalia hata lupita utaona uzuri wake upo wapi, lakini kuna mwingine ataona weusi ndio ubaya. Mimi ninaamini ajionavyo mtu ndivyo alivyo, sasa kama madogo waliona hivyo wakikuwa wataelewa uzuri uko wapi na sio kama wanavyojiaminisha ujinga!
Haya pita chap nione hilo gutako kwanzaπ
Sio kweli mpaka nione kwa macho! Kitupie hapa tuko wawiliπ€Watoto wajinga wale! Yule alokuja kuniona uso ndo kimbelembele!
Nina pasi tu hapa, siku hiyo nilivaa kigodoro
Napita lakini usisahau kuniitaDadaake! Hebu pita kwanza bado tumelala na hiki kimvuaπ
Madame B hajapinda AMENYONGOROTA kabisa π€£π..Wewe bhana ilitakiwa mkeo awe Madame B πΉ
Madame B alisema ana dildo nusu mtu na nyingine ziko mbili anazikalia akiwa ofisini πΉπΉπΉ
Kama kuna mtu kapinda basi Madame B humu JF
mda napita haukuepo kijana,, basi nitarudia badaeπOyaa we kibibi mimi ndio nimekukomalia upite halafu unapita mida ambayo nimepumzika si ndio?π
Kaka nime kuta g na kuuliza una endeleaje, nikajua ume amua kuwa invisible.acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ndiooo ni mpole mnooo πndo maana nikasema mmemuharibuπππYan warld ndo mpole aseeeπ€£π€£π€£
unataka kumtumia nini tukuloge?πNamtumia Dm
Labda amtumie code. ππ€unataka kumtumia nini tukuloge?π
hakomi tuuu,,, kwahiyo anataka ahakikishe unapelekwa soba kwa ajili ya efootballπ πLabda amtumie code. ππ€
Apo itabidi niwe sober kwaajili yako kibibihakomi tuuu,,, kwahiyo anataka ahakikishe unapelekwa soba kwa ajili ya efootballπ π
ngoja nianze kukoleza mambo unogewe kibabuπ€π€Apo itabidi niwe sober kwaajili yako kibibi