Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah! Watoto wa 2000 tunaonekana mishangazi, mishangazi mnaonekana watoto wa 2000
Mtakoma, yani kizazi chenu si mchezo mimi mdogo wangu anayenifuata kila mtu anajua ni kaka yangu kumbe namzidi miaka mitano😆 hebu ona midevu🤣
 
Mtakoma, yani kizazi chenu si mchezo mimi mdogo wangu anayenifuata kila mtu anajua ni kaka yangu kumbe namzidi miaka mitano😆 hebu ona midevu🤣View attachment 3602069
Mbona huyu kama mdogo wangu! Yaani wa kiume ila mweupeee dada yake hapa mweusi watu huwa wananiudhi wanasema ilitakiwa mimi niwe na rangi yake na yeye achukue yangu
 
Mbona huyu kama mdogo wangu! Yaani wa kiume ila mweupeee dada yake hapa mweusi watu huwa wananiudhi wanasema ilitakiwa mimi niwe na rangi yake na yeye achukue yangu
Yani mimi wadogo zangu wote hakuna mweusi dada yao sasa, na ni wazuri kushinda dada yao eti😆
 
Vichwa gani mamaake hizo lips uwii, mimi nikajuaga humu hakunaga warembo kasoro mwafulani tu, nimesapraiziwa hizi siku mbili acha kabisa🤣🤸🏽‍♀️
Warembo wapo wengi tu, uwe unavizia selfika za wadada wapole humu binti kiziwi, nifah ushangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…