ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,478
- 41,420
Mzee mjanja mjanja mi sitakiKuwa na imani na Wazee mjukuu 🤭
mie ni mwendo wa kujikatia kipande changu, nikicheza 8, napiga pasi tu, nikicheza 6, nacheza ya kibosi kabisa, deeplying kabisa..nikicheza 10 ndio haswaa, natamba tuMkongwe mkongwe tuu kuna mwamba tunamwita Babu Pirlo kitaa😃age go kitambo kwenye game siku akija wote mnapoteana dimba mpk pumzi iishe ndo mnaanza kuonekana
Mke wa boss naye boss 😹😆😆😆mbona boss
Baadae kidogo
Nitakuita
Eehh ni shem ndo atatuwekea leo? 😹Badae usiku watu wote mkitulia nitamwambia baby atume 😆
.......😆😆😆mbona boss
Baadae kidogo
Nitakuita
Hahahaha,aiseeEehh ni shem ndo atatuwekea leo? 😹
Em nitulie nimuone shem mie..
Wambea tupo hapa ili tuwe tunamlinda..!!
Niko njiani kuelekea Tanga,toa locationBadae usiku watu wote mkitulia nitamwambia baby atume 😆
Mtoto wa Bosi nae Bosi sio..basi hata yule wa Rusia nae ni preizidaaMke wa boss naye boss 😹
Mimi nitumie naked pm mambo ya kuanza kuumiza macho na emoji sitaki kwa pisi iliyonyooka km wewe Wog Wog..!!
Sasa wewe hujui km nchi ipo chini ya duli 😹Mtoto wa Bosi nae Bosi sio..basi hata yule wa Rusia nae ni preizidaa
Niko makini kulinda mashemeji zangu humu 😹Hahahaha,aisee
Mie Tena nisijue kweli,aiseeSasa wewe hujui km nchi ipo chini ya duli 😹
Hahahaha,wewe wako ana mlinda naniNiko makini kulinda mashemeji zangu humu 😹
Nimesoma najua ishuu za mpira wa miguu,mie ni mwendo wa kujikatia kipande changu, nikicheza 8, napiga pasi tu, nikicheza 6, nacheza ya kibosi kabisa, deeplying kabisa..nikicheza 10 ndio haswaa, natamba tu
Uzuri ninaocheza nao wanaelewa, ukiwaelekeza wanafuata maelekezo.. humo mie nacheza na maneno, vidole kwa sana.. vijana ukiwasisitiza tukabe wanakaba..
Kiukweli naenjoy sana kucheza nao, na sina uwezo mkubwa ila wale madogo wanaweza fika mbali., wasikivu, watiifu, wanaheshima kwangu.
Veteranmie ni mwendo wa kujikatia kipande changu, nikicheza 8, napiga pasi tu, nikicheza 6, nacheza ya kibosi kabisa, deeplying kabisa..nikicheza 10 ndio haswaa, natamba tu
Uzuri ninaocheza nao wanaelewa, ukiwaelekeza wanafuata maelekezo.. humo mie nacheza na maneno, vidole kwa sana.. vijana ukiwasisitiza tukabe wanakaba..
Kiukweli naenjoy sana kucheza nao, na sina uwezo mkubwa ila wale madogo wanaweza fika mbali., wasikivu, watiifu, wanaheshima kwangu.
Safari hii tanganyika tumepatikana aisee..!!Mie Tena nisijue kweli,aisee
Bado sijapata shem, huna rafiki yako unipe nimtafutie mlinzi? 😹Hahahaha,wewe wako ana mlinda nani
Hahahaha,watanganyika sijui watanzania mnakomeshwa ,safi sanaSafari hii tanganyika tumepatikana aisee..!!
Kwahiyo unatucheka? 😥Hahahaha,watanganyika sijui watanzania mnakomeshwa ,safi sana