Nipo asee pilika tuSijambo ulipotelea wapi kijana😁
Hahaha ipo kazi kubwa sio kuzungusha mouse tu!Nice
Dear tafuta bluetooth mouse upumzishe vidole 😊
Safi tafuta pesa uje unipee sawa?Nipo asee pilika tu
Najua 😅Hahaha ipo kazi kubwa sio kuzungusha mouse tu!
Umenikumbusha jamaa mmoja akiingia ofisini "nyie mmekunywa dawaaa lakinii maana mnapendeza tu" 😅Safi tafuta pesa uje unipee sawa?
Mkinywa dawa mnapendeza? Au mimi ndio sielewi😂Umenikumbusha jamaa mmoja akiingia ofisini "nyie mmekunywa dawaaa lakinii maana mnapendeza tu" 😅
Alikuwa anamaanisha vidonge vikubwa aka mbaazi 🤣🤣Mkinywa dawa mnapendeza? Au mimi ndio sielewi😂
Mimi sivijui nawewe😂Alikuwa anamaanisha vidonge vikubwa aka mbaazi 🤣🤣
🤣🤣🤣Mimi sivijui nawewe😂
Nini sasa, hebu niambie! hafu pita basi mwanangu nikuone kidogo! 🙂
Usijali nitakutumia PMNaomba urudishe ulichofuta nami nikione tafadhali
Yaniii nlikua na wenge la kutoka kuamka😊Ni dada yake hapa😁
Hapa ndo vizuri mamiloo! Samaleko🖐Usijali nitakutumia PM
kakimbia, bora umekuja wewe upite tu 😁Yaniii nlikua na wenge la kutoka kuamka😊
Mshatupia mrudie nisafishepo macho???
Nmeona hapo juu kumbe umepita spidi nlienda kubandika maharage nkapitwa dahhh!kakimbia, bora umekuja wewe upite tu 😁
nilitoa wakosa story wakiiona ndio mada ya miezi mitatu..sitaki nuksi😆Nmeona hapo juu kumbe umepita spidi nlienda kubandika maharage nkapitwa dahhh!
Ngoja niweke mkaa kwajiko ndondo lisifubae kwanza ntakuita
Nasubiria kwa hamu... Fanya hivyo tafadhaliUsijali nitakutumia PM
Kwwli kabisa .sijajua shida nnDahhhh! inataka ijumaa yangu ianze hovyo ma mchungaji sijapentraaa!
Duh kwahiyo nimepitwq????nilitoa wakosa story wakiiona ndio mada ya miezi mitatu..sitaki nuksi😆
usiache kuniita mama'ake
Upooo?Nasubiria kwa hamu... Fanya hivyo tafadhali