Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
๐๐๐๐Nimelia mno Shem๐ฅบila mapenzi uchizi nasikia labda kaupata kwa kukupenda wewe๐๐
Muulize hiyo ya mwaka gani aliyotuma kama sio afu moja mia ngapi hukowe nimemuona bado yanki kabisaaa,, usinipotoshe dogo๐ฌ
hata sielewi kwa kweli๐Leo tumekutwa na nini๐
Au umempiga juju ๐ maan hasikii kitu siku hizi๐๐๐๐
Shule zimefungwa na ndio wanaamka saa hzsi hawa gen z wanataniana๐ ๐
๐๐๐๐Razorblade ukipata baby ya pili nigaie moja mwanangu hali mbaya huku ๐
Braza nakusalimu๐๐๐ค ๐๐ค ๐
Usiku mwema babu.Naona Gen Z wa JF wameamka, niingie kibanda changu Cha ulinzi
Domo langu zito mkuu๐๐๐๐
Watt wakali wamejaa huku , mbona unaniangusha
Achana na mimi ๐Shikamoo braza
Wewe mwenyewe Mtumishi,mtoto mkali๐๐๐๐
Watt wakali wamejaa huku , mbona unaniangusha
Alf tisa mia kenda๐๐Muulize hiyo ya mwaka gani aliyotuma kama sio afu moja mia ngapi huko
Me Gen Alpha Babu Gen Z hao wengineNaona Gen Z wa JF wameamka, niingie kibanda changu Cha ulinzi
Khalas ๐๐Its chai man completely ๐คฃ
win-one umeona hiiView attachment 3601345@win-one Natumia web.
Hiyo emoj inamaliza kila kitu mamaa.
Hadi upofu wa Razorblade kwa wog
nimejenga na ukuta kabisaAu mmegombana๐kila mtu kageuka upande wake
๐๐๐nyie bila juju mbona hamtuliiAu umempiga juju ๐ maan hasikii kitu siku hizi
Tulud kwetu aseeehata sielewi kwa kweli๐
Ndaga ๐๐Wewe mwenyewe Mtumishi,mtoto mkali