Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,299
- 95,622
Mzaramojina kamili ni lipi?
Mzaramojina kamili ni lipi?
Wala usiwaze nitakulinda kwa maarungu na maapanga 😂🤠😂🤠😂loooh mi simo wajameni🤣🤣
uweeeh kwahiyo saivi yupo mahali kajibanza na kisu? 😥 et Razorblade ya kweli haya mwanetu🤔🤣Hasa unamuita mwizi unataka aache kazi muda huu aje kuselfika.
mambo hayo💃💃💃Wala usiwaze nitakulinda kwa maarungu na maapanga 😂🤠😂🤠😂
tunasubiri ukiwa umelalaKuna jambo hapa,nisikae Mbali
mtaniua jamni na huto tu stickers 🤣
Unaharibu kijana🤨
Mie Niko LINDO hapa nalinda thread na kuwalinda nyie hapa,msije kuibiwatunasubiri ukiwa umelala
Hilo darasa si tumekubaliana unakuja Nyumbani kujifunza?mtaniua jamni na huto tu stickers 🤣
umefanyaje fanyaje mpka huto tu kitu tumetokea? mi bado mgeni wa smart phone 😎 naomba kufundishwa

Kaka ShikamoooWakubwa
Last born si mlisema n mimi ama😃karibu last born wetu😊
Shikamoo pia kaka 😂Kaka Shikamooo
Me ndo mdg kuliko wote hapo
Hahahaha kati ya hao ,nani Dada yenu mkubwaMe ndo mdg kuliko wote hapo
Kuna jina ilifaa uniite😂🙌🏾
