Haufananishwi na wakubaki ndani. ππMguu wa kutokaπ
ππππΎTupiaHaufananishwi na wakubaki ndani. ππ
Umejimaliza, afu nina zawadi yako njoo PMSababu sijawahi πΉ
kwaiyo niache kunywa juice ya tende my!πΉπΉπΉ Mfyuuu..!!
Kunywa kwa afya yako πΉkwaiyo niache kunywa juice ya tende my!
Weeeh! Ninavyopenda zawadi sasa π»Umejimaliza, afu nina zawadi yako njoo PM
Mtume Kauombea π€£Mguu wa kutokaπ
Kweli wajukuu ninao babu yenu π
usianze tu kuomba kikoπKweli wajukuu ninao babu yenu π
Na unatamba naoKweli wajukuu ninao babu yenu π
Hakika, yanini nijikwae njiani wakati wajukuu wa kunishika mkono ninao πNa unatamba nao
Koh koh koh .......umenikumbusha jambo mjukuu, hapa nina arosto mbaya ya kiko ujue πusianze tu kuomba kikoπ
tayaliπ π π ila babu khaaa ushanishinda tabiaKoh koh koh .......umenikumbusha jambo mjukuu, hapa nina arosto mbaya ya kiko ujue π
Kuwa na imani na Wazee πtayaliπ π π ila babu khaaa ushanishinda tabia
haya mwambie mjukuu wako akuletee sasaπ€£Kuwa na imani na Wazee π
Unajua kwa umri nilionao bila kuvuta Kiko zangu baridi litaniua babu yenu πββοΈπββοΈ
Huyo nitamwagiza aniletee chai ya Mwani, kuna mwaka niliwahi kunywa nikiwa na bibi yenu ilinifanya nijihisi nimekuwa kijana ghafla yaani ππββοΈπββοΈπββοΈhaya mwambie mjukuu wako akuletee sasaπ€£
πππKunywa kwa afya yako πΉ
Hivi wanaume huwa mpo serious mnakunywa vitu sababu ya kwichy?
Kuna mwingine humu alisema anampakia vumbi mkewe NIKAOGOPAAA πΉπΉ
Mapenzi ni vita? Sio kwa kujikoki huko jamani mtachana vitumbua sasa lol!
hebu pita nikuone basiπ
Hebu tupiq basi πhebu pita nikuone basiπ