Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 wewe muda wote unalima huna likizo?
Chino mi nakupa talaka na hiyo talaka lazima niikatie sare nije kuifata nishakuchoka..!! Mwanaume gani upo km kakakuona? Unaonekana kwa manati..!!
Hakuna sehemu nzuri nzuri!! Ulipie hata KIREMBA. Namimi nitulie town.

Si unajua baridi linakuja Hilo mwezi wa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…