ni kawaida sana ukiwa unajifunza kupika online!Napenda sana kupika vitu tofauti ila sasa hicho kipaji ndo sina.
Jana usiku nimepika kachori nikatoa vitu vya ajabu
Leo nimepika keki ila badala isikike sukari inasikika chumvi
Vizuri niende kwa wataalamu wa mapishi?ni kawaida sana ukiwa unajifunza kupika online!
Rusha nirushe.Nirushe ataidaka nani?
Picha yako baki nayo! Kwani sikujui wewe una rangi ya andaziRusha nirushe.
Sijawahi kusema hivyo, nikome!Picha yako baki nayo! Kwani sikujui wewe una rangi ya andazi
Hujawahi kusema nini?Sijawahi kusema hivyo, nikome!
hapana,practise makes perfect, trace wapi unakosea, maybe maandalizi unazidisjha au unapunguza vipimo! ila kama muda unao nenda taining..Vizuri niende kwa wataalamu wa mapishi?
Nataka nijue kupika kachori, kababu, bagia yaani niwe najifededa!hapana,practise makes perfect, trace wapi unakosea, maybe maandalizi unazidisjha au unapunguza vipimo! ila kama muda unao nenda taining..
unaanza kidogo kidogo ukirudia ya kwanza ya pili unaiva! mwanzoni huwa ni kasheshe..Nataka nijue kupika kachori, kababu, bagia yaani niwe najifededa!
Nitaendelea kujaribu yaani hadi sambusa zinishinde? Nakosa utamuunaanza kidogo kidogo ukirudia ya kwanza ya pili unaiva! mwanzoni huwa ni kasheshe..
Aisee pole,jaribu tena kupika kachori,kama mie mara ya kwanza kupika sikuambulia hata Moja😁,Napenda sana kupika vitu tofauti ila sasa hicho kipaji ndo sina.
Jana usiku nimepika kachori nikatoa vitu vya ajabu
Leo nimepika keki ila badala isikike sukari inasikika chumvi
Viazi havitakiwi kuiva sana?Aisee pole,jaribu tena kupika kachori,kama mie mara ya kwanza kupika sikuambulia hata Moja😁,
Viazi viliiva sana yaani kuviliga ilikuwa KAZI, na hile ngano sikuweka yai,yaani vilivurugika kwenye mafuta hata kula halifai.
Yaani,viie lkn sio sana,na maji pia usiweke mengi, maana ukiviokoa unaviponda visiwe na mabuja,unavisonga kama ugali,Viazi havitakiwi kuiva sana?
Nitafanya hivyoYaani,viie lkn sio sana,na maji pia usiweke mengi, maana ukiviokoa unaviponda visiwe na mabuja,unavisonga kama ugali,
Ushachelewa😅badae badae
nishachelewa nini?Ushachelewa😅
Nimepita kumbe , kumejaa ukachelewanishachelewa nini?
duh!Nimepita kumbe , kumejaa ukachelewa