Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,579
Heri yako wewe unasinzia,mie Nina siku kadhaaUzee huu, nasinzia mno!
Heri yako wewe unasinzia,mie Nina siku kadhaaUzee huu, nasinzia mno!
Dahh millennials huo muda tunaota tuko sayari nyingine kabisa!Ifikapo saa 00:00 usiwe mbali
Kwanini husinzii mkuu?Heri yako wewe unasinzia,mie Nina siku kadhaa
Kasinzia sasa😂Kwanini husinzii mkuu?
Full Stress, RafikiKwanini husinzii mkuu?
Hahahaha,nikitoka Mtaa huu na hamia Mtaa mwingine mpk kukucheKasinzia sasa😂
Yamekuwa hayo!Kasinzia sasa😂
Hahahaha 🤣Yamekuwa hayo!
Duh pole sana usiache kupumzika pia mkuu wote tuna stress pia!Full Stress, Rafiki
😂😂🙌🏾Yamekuwa hayo!
Mpaka kieleweke mkuu😎Hahahaha,nikitoka Mtaa huu na hamia Mtaa mwingine mpk kukuche
Nikajua unasaliti chama!Hahahaha 🤣
Mda hautoshi😂Hahahaha,nikitoka Mtaa huu na hamia Mtaa mwingine mpk kukuche
Hahahaha, pekee yangu siweziDuh pole sana usiache kupumzika pia mkuu wote tuna stress pia!
Chama lipiNikajua unasaliti chama!
Umezoea kubembelezwa ndipo ulale sio😀Hahahaha, pekee yangu siwezi
Si la mkesha!Chama lipi
Tupo pamojaSi la mkesha!
Imeanza kukukolea sasa unatutusi si ndio?Amezeeka na hajaolewa