π π π π sipo huko nipo huku ππΉπΉπΉ Ukweli usemwe mkaka kanyooka..!!
Wewe hauko wapi na tupo wote hapa umejionea balaa lile..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Limekwiva [emoji81][emoji81]
Em usinisumbue kwanza, wewe coca wa kukaa kimya bila kuniambia dada ako km Ambition plus ni handsome vile??
Likaka liko full package jamani!! Nimelia sana [emoji26]
Nasemajee rangiii ya mtoto hatumwi dukaniii, [emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza [emoji81][emoji81]
Usicheke hii issue ni very deep ujue πΉπΉ[emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa km mwehuu, sijui nacheka nini atiii
Mie Raba ananileteaa, afu nshaanza kuhisi kitu kuhusu Boss, km sio mivocha, basi Miga.Boss kaselfika hapa pedezee kabisa pesa kwake sio ya wasiwasi aisee..!! Ana uchebe huo sio pouwa..!!
Nasubiri slipper mwenzio [emoji81][emoji81][emoji81]
πΉπΉπΉ Wapi?π π π π sipo huko nipo huku π
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unanikumbushaaa mbalii.Usicheke hii issue ni very deep ujue [emoji81][emoji81]
Alivyo tall ni lile body afu hana kitambi nyieee [emoji7]
Kuna waungwana humu wana kusudi aiseee..!! Hivi wake wenza wanaopigana vikumbo hao wanaume zao wako km hivi?
Wakaka km Ambition ndio wa kugombaniwa sasa. Hata ukisema unagombana waungwana tunajua unachokipigania vingenevyo waache mara moja..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Udugu kuna vyuma vimepita sio pouwa πΉπΉπΉ[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nipo apa Selfika ππΉπΉπΉ Wapi?
Ko modes wa kike hapo JF HQ wanakenua tuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]Udugu kuna vyuma vimepita sio pouwa [emoji81][emoji81][emoji81]
Yupo boss Aynay na Ambition unaambiwa server zote zimestuck kwa muda kushuhudia uumbaji..!!
Ana balaa π₯π₯π₯[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku alipost picha, afu ilikua naked, nikaiiba humu.
Nikawa nai angalia kwa gallery, najiseme nikiwa na huyu natangaza umma mzima ujue.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nilibofya wapi picha ikafutikaa, aloooh
πΉπΉπΉ Lazima huyu mtu ana balaaKo modes wa kike hapo JF HQ wanakenua tuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mie, kuna kitu natafuta sio buree, khaaah
Wapi tena wewe ankoli wa sele macho πΉπΉπΉ[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unanikumbushaaa mbalii.
Em niache kwanzaa, alooooh [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo kaka kanyooka, hana kipengere, labda ukilete wewee.Ana balaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Leo nitamuota [emoji81][emoji81]
Hivi unajua sielewi kabisa kichwani linazunguka picha lake tu.!!
Shetani akiona umetulia anakuletea kina Ambition ili tu ubaki kuwa mfuasi wake [emoji81][emoji81][emoji81]
πΉπΉπΉ Hapo kati ya mmojawapo hachomoki. Ila kwa ile pic sio bana..!!Mie Raba ananileteaa, afu nshaanza kuhisi kitu kuhusu Boss, km sio mivocha, basi Miga.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Lazima huyu mtu ana balaa