Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakuu, kwanini baadhi ya watu siwez kuwatumia Private message? Ni uzee ama nakosea sehemu. Wakati wote napata jumbe β€œkumradhi kuna changamoto kidogo”
Ulikua unamtumia nani nikusaidie kumshawishi akufungulie 😹😹😹
 
😹😹😹 Kwahiyo sisi utatuletea nini?
Bana nipe mimi hivyo vya Lamomy size zetu same..!!
 
Brown my favorite color 😍
Nitumie hiyo ya kwanza boss..!! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Kesho jioni nikitoka kuhudumia wazalendo, nitapita hapo nikuchukulie, ulipotea hewani wakati nipo dukani hapo πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…