Muda wowote mwezi huu, nitakucheki wakuletee ulipo, kwa size hiyo hiyo yakoKo sasa itakuajee??
11, class 5Kama nakuona vile 😄😅ana umri gani?
Namaanisha watu wanakula maisha.Fafanua kwani.
Wachaa wee!! Wasindikizaji lazima wawepoo atii.Namaanisha watu wanakula maisha.
Tukatae kuwa wasindikizaji
[emoji23][emoji23][emoji23] una heka heka weyeee.That's my name.. [emoji23]
Haaminii atiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] kagoma
No 41 navaa plz, agiza niletewee, nipo hapa kukipokeaa.Muda wowote mwezi huu, nitakucheki wakuletee ulipo, kwa size hiyo hiyo yako
Ndo wanaita Marekani buti? Tishaa sanaa [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3589372Sharp [emoji256]
Mkuu kwema? Kuuliza si ujingaBwana ni mwema mtumishi😃👋
wakati woteee 😜Bwana ni mwema mtumishi😃👋
Kwema mkuu...Mkuu kwema? Kuuliza si ujinga
Inakuwaje mnaitana wapenzi wewe na coca? Sijaelewa kabisa
Asee tunashukuru kwa Summary imenitosha hata kesho sitoenda church😃👋wakati woteee 😜