Ngoja nimtume mmoja hivi akuletee kiko babu, huwezi kupata arosto na jukuu lako winga wa kila bidhaa nipo babuu!! πΉπΉπΉNina muda mrefu sijaletewa kiko ujue, fanya kumwagiza mmoja aniletee nilipo π
Hujambo lakini? Mbona kama mvinyo wa zamani ila chupa mpya
Usiniambie hii ni backup Id yako nyingine baada ya ile π
Ndiyo maana siachi kukupenda mjukuu wangu, unajua kunijulia babu yako πNgoja nimtume mmoja hivi akuletee kiko babu, huwezi kupata arosto na jukuu lako winga wa kila bidhaa nipo babuu!! πΉπΉπΉ
Kwa kweli siwezi kukupotea mjukuu, hata ukiwa maili 10 bado naweza kunusa harufu ya manukato yako (Maana ni OG kutoka Paris kwenyewe) πMi sijambo, umenifurahisha japo umezeeka ila hujawahi kusahau harufu ya mjukuu wako..!! πΉπΉπΉ
π€£π€£π€£π€£Kiranga atakuoa tulia si alikuahidi lakini uduguu..!! πΉπΉ
Mtoto wake tumpe Tayana-wog wote tuondoke nchi ya tozo..!!
Babu nimekumbuka club de nuit yangu imefinish π₯πΉNdiyo maana siachi kukupenda mjukuu wangu, unajua kunijulia babu yako π
Kwa kweli siwezi kukupotea mjukuu, hata ukiwa maili 10 bado naweza kunusa harufu ya manukato yako (Maana ni OG kutoka Paris kwenyewe) π
Na wewe tunaondoka nawe hatukuachi..!! πΉπΉπΉπ€£π€£π€£π€£
Looo mnikimbie malawi
π€£π€£π€£ππππBabu nimekumbuka club de nuit yangu imefinish π₯πΉ
Naomba ufanye nipate mupya babuu πΉπΉ
Wewe babu nakujulia lazima uletewe kiko na pisi iliyonyooka..!!
Au nimtume Wog π
Hapo sawa...mnaniachaje malawiπ€£π€£Na wewe tunaondoka nawe hatukuachi..!! πΉπΉπΉ
Mpelekee babu kiko na ole wako unikatalie dadaako Wog, ntakuchapa..!! πΉπΉπ€£π€£π€£ππππ
Unabakije huku mwisho wa dunia? πΉπΉHapo sawa...mnaniachaje malawiπ€£π€£
Ili nigundue nn
Hapana ni mwaka janaAu janaa.
Usijali kuhusu hilo mjukuu, nikuagizie alibaba ama utaenda kubahatisha hapo mlimani city πBabu nimekumbuka club de nuit yangu imefinish π₯πΉ
Naomba ufanye nipate mupya babuu πΉπΉ
Mambo si ndiyo hayo mjukuu, mtume tu aniletee, nina arosto sana ujue π
Babu Alibaba watanicheleweshea, last time Amazon waliniletea kwa kuchelewa..!!Usijali kuhusu hilo mjukuu, nikuagizie alibaba ama utaenda kubahatisha hapo mlimani city π
Mambo si ndiyo hayo mjukuu, mtume tu aniletee, nina arosto sana ujue π
Battle za urithi, alitaka kuwa godfather akati sija wahi kumuona hadi siku ya msiba.πΉπΉπΉ Umeona sasa!!
Sasa mna ugomvi mpk unashindwa kumtafuta baba yako mkubwa??
Hahaha.........haina shida, utaona meseji yangu soon uende hapo mlimani cityBabu Alibaba watanicheleweshea, last time Amazon waliniletea kwa kuchelewa..!!
Naona nichukulie Mlimani city tu inatosha..!! πΉπΉπΉ
Nimekaa nje kumsubiri πAnakuja anamalizia kupaka lipstick πΉ
πΉπΉπΉ Alitaka kuwa msimamizi ili mtaabike..!!Battle za urithi, alitaka kuwa godfather akati sija wahi kumuona hadi siku ya msiba.
it was me against the whole fvckin clan.
π€£π€£π€£Unabakije huku mwisho wa dunia? πΉπΉ
Wewe jiandae passport sina shaka nawe najua ipo..!!
KhaaaaππππMpelekee babu kiko na ole wako unikatalie dadaako Wog, ntakuchapa..!! πΉπΉ
Tayana-wogHahaha.........haina shida, utaona meseji yangu soon uende hapo mlimani city
Nimekaa nje kumsubiri π
Wewe tena passport imechafuka hivi sasa hivi hujampita chui kweli? πΉπΉπ€£π€£π€£
Travel docs nakosaje mie mtu wq masafari ya mbeleee