Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee nae ulikua wapiii? Au viwanjaaa kuburudika na lives band?
Jana nilipita hapa usiku sanaa, yaan usiku mneneeee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana kuna issue nilikua naifanya nikapitwa uduguu.. do ze needful ๐Ÿ˜

Live bands napenda kwenda Ijumaa na Jumamosi
 
Nakuambiaaa kuishi NYC tayarii yuko mbele ya muda haswaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kashatuchamba kizungu dadeq ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Uduguu tujipange twende tukacheck World Cup afu tusirudi. Tutaishi kwa Kiranga ๐Ÿคฃ
 
Wee umeanzaa kulewa asubuhii hii?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Acha watu watafutiwe kazi kwa upendo bhana, huko Telegram kuna ninii jamaniii?

Ila nilicheka shengesha ya Mpare, anakataa afu kulee naona km ina sounds kwelii vilee, aaah [emoji23][emoji23][emoji23]

Mie natafuta kazi ya kwenda mambele kuosha vikongwe na vizee,
Ambition plus naomba msaada wa connection za kuzamia huko plz.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Yeye mtetezi wa watu wasio na watetezi..!!

Hata mimi ss hivi namuunga mkono ifike muda kila binadamu awe huru kuishi duniani vile anavyojisikia na mwili wake..!!
Una muunga mkono kwenye ujinga, yeye akazanie jinsia yake hizo habari nyingine tupa kule.
 
Kashatuchamba kizungu dadeq [emoji81][emoji81]
Uduguu tujipange twende tukacheck World Cup afu tusirudi. Tutaishi kwa Kiranga [emoji1787]
Tutakosaje kwa kuishi? Kiranga, Nyani Ngabu, Ambition plus, yaan ni kuhama hama tuu, tunachagua kwa kuishi.

Kiranga anaishi Washington DC, Ambition yuko NYC, Nyani Yuko LA, afu kuna Babuu Shimba yuko California. Nakuambiajee hatukosi Pa kustay.

Sisi ndio sisii. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aje nimpe ubuyu, ujue ukiwa NYC lazima umiss umbea wa bongo..!!
Na sisi wambea tupo kwa kazi hizo uduguu [emoji81][emoji81]
Haswaaaa tuko kwa ajiri ya umbea tuu humuuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana kuna issue nilikua naifanya nikapitwa uduguu.. do ze needful [emoji7]

Live bands napenda kwenda Ijumaa na Jumamosi
[emoji23][emoji23][emoji23] issue ganii au kuhadaika na shemelaaa?
Nimechekaa janaa aiiiih.
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Yeye mtetezi wa watu wasio na watetezi..!!

Hata mimi ss hivi namuunga mkono ifike muda kila binadamu awe huru kuishi duniani vile anavyojisikia na mwili wake..!!
Si ndiwooooooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Kadakwa kizembe na ujanja wake wote kaungwa telegram na kina Asha jibwa ๐Ÿคฃ

Vikongwe vinatemea mate wahudumu.
Hizo kazi mwenye connection nazo Vincenzo Jr mwambie akuunganishe..!!

Ila nilivyo kauzu huyo kikongwe wa kutemea mate angechezea kelbu na vifinyo ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ