Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Kwani nyie mmewatoa wapi?

Sema mabwana wa JF nimewaachia nyie mnaoweza kupambana na uke wenza uduguu..!! Sitaki kuletewa mpodido wangu hapa nikatisha waungwana..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] Mabwana wa JF nawaweza ila sio wa uke wenzaa??
yaan mie ndo Main Chick. Ndio maana sina shengeshaaa.

Wanaume wako uraianii mahiii, ni wakalii kikudaaa. Awww!!
 
Mm nimekuruhusu na usifute, afu nione huo ungese wao
Wala situmi, kwanza tuwahahkikishie wao km nani? Kuwapa umuhimu machizi nishavuka hizo level. Kubishana na watu maisha yao 2-9 nako ni kupoteza muda..!! 😹😹😹

Wewe tupia zingine hapa tuone uumbaji wa Mungu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gudubai
Yani chica sijawahi kukuona em weka bana mbona inaonekana we mrembo darling hata mshamba alikusifia. Ujue humu mimi namuamini sana mshamba akikupitisha ujue wewe kisu kweli..!! 😹😹😹
 
Muwe na siku njema wakuu, mm naenda offline kwa muda.

Picha zangu OG zikitumwa zisifutwe Mpaka nizione otherwise muwe na J2 yenye utulivu wa akili na roho zenu ❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…