ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,799
Picha sina tena zote za zamaniππSelfika, maneno yasiwe mengi π€£
Hebu jitupie maneno yasiwe mingi!Picha sina tena zote za zamaniππ
Tena nasikia wengine wanatujua kuliko tunavyodhani πππ
Kuna nini uku tena
π€£π€£π€£π€£Kuna nini uku tena
Mtapewa maini mapya mbinguni, pigeni vyombo πSasa wenzako tunaoiga direct proportion na hatutambai wala niniπ
Eenhe we nenda kakisugue kama unangβarisha sufuria, maumivu yatakayofuatia nina uhakika hautarudia tena πKhaa ndio hujui kuna kusugua kikachubukaπ€£
ππHebu jitupie maneno yasiwe mingi!
JF ni kwa matajiri binti, usiselfika na hizo za alfu tatu tatu ππHebu nifute tambala langu la blue miee kesho nisikute machinga washazoom mpka washapangiana na beiπ
Mungu mwenyewe anaangalia moyo we unataka ukamringishie nani maini yako mapya mbinguniπMtapewa maini mapya mbinguni, pigeni vyombo π
Hahahah nitameza pen v! Kwahiyo nikipake mafuta au sabuniπEenhe we nenda kakisugue kama unangβarisha sufuria, maumivu yatakayofuatia baada ya hapo nina uhakika hautarudia tena π
fanya kweli..ππ
Sitorudia kosaπ€πΎπJF ni kwa matajiri binti, usiselfika na hizo za alfu tatu tatu ππ
View attachment 3586246
Halafu kweli π π€Mungu mwenyewe anaangalia moyo we unataka ukamringishie nani maini yako mapya mbinguniπ
Kama ute hautoshi, mimina hata mafuta kidogo palainike, siyo pa kusugua kwa nguvu hapo!Hahahah nitameza pen v! Kwahiyo nikipake mafuta au sabuniπ
Hahhaaaa ngoja waje kusema ai, kula maisha la mama!
Ngoja nimalize hapa nikakomae nacho umesema mafuta ya taa, ya kula ama ya kupaka?π₯±Halafu kweli π π€
View attachment 3586252
Kama ute hautoshi, mimina hata mafuta kidogo palainike, siyo pa kusugua kwa nguvu hapo!
Mi ndio I like π₯π πHahhaaaa ngoja waje kusema ai, kula maisha la mama!
Umejifunza π πSitorudia kosaπ€πΎπ
Ewaaah, hujakosea!Binti wa zamani na katereroπ
Hebu jaribu ya taa tuone itakuwaje πNgoja nimalize hapa nikakomae nacho umesema mafuta ya taa, ya kula ama ya kupaka?π₯±
Nimeokokaπ€£Umejifunza π
Niunguze simiπ€Hebu jaribu ya taa tuone itakuwaje π
Nyt nyt bebe!π
Intelligent businessman upo?Chica Gee muda ndio huu rafiki, selfika
Nipo rafiki
Nikajua leo mambo mengi muda mchache π π, Weekend imefikaNipo rafiki