Toka huko shindii hauna pesa kaa kwa waenyeji wageni waalikwa waacheNikae upande wa wageni wa naiiii🤣
Akuuu!! Kwa wageni nyama nyingiii, bia na mbege za kushato. Wenyeji wanitue🤣🤣Toka huko shindii hauna pesa kaa kwa waenyeji wageni waalikwa waache
Shindiii kaa nyuma tu pesa zako bado ni chache mno🥲Akuuu!! Kwa wageni nyama nyingiii, bia na mbege za kushato. Wenyeji wanitue🤣🤣
Sitakiiiiiiiii, sitoki labda mniue🤣Shindiii kaa nyuma tu pesa zako bado ni chache mno🥲
Humu jau mwenetu .Noma sana , sema unafuta chap sana
Mi ndio sijawahi kubahatisha selfie yakoSure , singidani kuna chuma sio mchezo , mtoto mwaaa sana wewe😋
Mhmmm sio kweliHumu jau mwenetu .
Unasema kweli?Mi ndio sijawahi kubahatisha selfie yako
WalahiUnasema kweli?
Kesho nakutumia ,hapa nimelewa mnoWalahi
Haya nenda nyumbani.Kesho nakutumie hapa nimelewa mno
Hahahaha , nipo nyumbani , mbona sijatoka😅Haya nenda nyumbani.
Mkuu wanawake hawasomekii, unaweza wapa kila kitu na hela ukawa nayo na bado wakakunyooshaaa 😁😁Hahhaah sawa bwashee, ila wanawake wazuri kama hauna pesa kaa nao mbali
Bia ziwepo na mademu wa zuri wawepo bwasheeMkuu wanawake hawasomekii, unaweza wapa kila kitu na hela ukawa nayo na bado wakakunyooshaaa 😁😁
Mie sasa hivi nachukia wanawake wazuri, zamani enzi za ujana ulikuwa huniambii kuhusu toto kali, ila sasa hivi natamani wauwawe.. bora nibaki.kupiga bia na bange
kuhusu mademu wazuri nawaachia nyie, acha nipambane na sura za baba.. Kwenye bia naunga mkono hoja.. ila wanawake wazuri wauawe... tena kwa kuchomwa moto wa gasBia ziwepo na mademu wa zuri wawepo bwashee
Usiku ndio huu mama😁Umerudi 🤣🤣
Nyingine usiku
Uhakika au siyo... hahaha
Duh verry sorry nilikuwa out ndo narudiUsiku ndio huu mama😁