Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahha unatafuta pesa halafu unataka vitu vibaya😅😅😅 hivi nili ku ignore kwa sababu zipi bwashee ebu nikumbushe ila utakua ulinitukana au ni chawa wa mama View attachment 3580917
Hakuna mkuu, sijawai tukana mtu wala hukunitukana ni kutoelewana kimitazamoo...

Wanawake wazuri ni tatizo sana mkuu, ni chanzo cha majanga mengi.. Hela ina mambo mengi mazuri yanayoweza kukupa raha... Ningekuwa na amri wanawake wazuri wote tungewachoma moto
 
Hahhaah sawa bwashee, ila wanawake wazuri kama hauna pesa kaa nao mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…