ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,746
- 42,179
Akili mingiTuma basi hata hiyo zamani, alafu tafuta photo shooter mmoja nimlipe akupige hizo mpya sasa.
😏😏😁namtoa wapi jamni huku kijijin hatuna ma photo shooter😪
Mtumie picha kijana wa watu ebooonifanye kitu gani maiLodi🙃🤭😅
akirudi niite niselfike nimepata picha ya mwaka 2007💃Mtumie picha kijana wa watu ebooo
Poker weyayu yuuu kamu hiya 🔥🫰akirudi niite niselfike nimepata picha ya mwaka 2007💃
Kosa langu liko wapi?😢dada m baya wew khaaa😄 ndo maana unafananishwa na aidii za watu, umechangamkaaaa
haya selfika acha maneno mengi😋Kosa langu liko wapi?😢
Kumuita mtu🤔
Nimechangamshwa sikua hivi ujue😎
Na hao wanaonifananisha watajua wenyewe 😅😅😅
Kwani hakuna sehem ya voice note hapa wasikie sauti nyororo😁🏃♂️🏃♂️ata usitake kuwafaidisha,, sisi tuishi kama uzi unavyotaka, kiufupi selfika kwa faida yako kipenzi maana bado watasema umetuma pic za uongo😄
mi pia huwa natamani kungekua na option ya voice note, maana kuna mda nachokaga kuandika😪, ila ndo hivyo labda moods watuzingatieKwani hakuna sehem ya voice note hapa wasikie sauti nyororo😁🏃♂️🏃♂️
Hata hivyo sio kwa ajili yao mbona
Wakae humu 🚮
Umeonaa eeeh ila mimi nisingetuma voice time ya ugomvi 😁mi pia huwa natamani kungekua na option ya voice note, maana kuna mda nachokaga kuandika😪, ila ndo hivyo labda moods watuzingatie
haya selfka babe love👌🤗
ndio ningetuma kwa herufi kubwa kabisaaa, kuhusu sauti ipo ipo kidogo😄😄 ningemtag mtu atoe ushahidi ila naogopa mtamuuliza na vingineUmeonaa eeeh ila mimi nisingetuma voice time ya ugomvi 😁
Vp wewe ungetuma ?
Sauti ina mamlaka 😂
jamni sijapendraaa umeshindwa hata kuthamini hayo majina mazuri ninayo kuita? watu hamna shukrani kabisa😪😆😆Siselfiki ng'ooooo
Ebu nino ng'oneze ujue saiv tupo wawili hapa 🫢ndio ningetuma kwa herufi kubwa kabisaaa, kuhusu sauti ipo ipo kidogo😄😄 ningemtag mtu atoe ushahidi ila naogopa mtamuuliza na vingine
Eb ita tena tuone kama nitasisimkajamni sijapendraaa umeshindwa hata kuthamini hayo majina mazuri ninayo kuita? watu hamna shukrani kabisa😪😆😆
akuuu we kuweza😆😆😆Ebu nino ng'oneze ujue saiv tupo wawili hapa 🫢
sitaki tena😔Eb ita tena tuone kama nitasisimka
Naweza sana tuakuuu we kuweza😆😆😆
Yooooo darling ♥️sitaki tena😔