Hahaha sema mimi sio mfuasi wapilauHapo Ilikuwa jana rafikiiii saii nshavimbiwa pilau la Easter ni napumulia juu juu tu hapa! Ntakubles Easter Monday
Walevi na pilau kusi na kasiHahaha sema mimi sio mfuasi wapilau
Mno , halipandi kabisa labda ndizi za nyama nyingiWalevi na pilau kusi na kasi
Hapo kwenye nyama awwwwww!!!Mno , halipandi kabisa labda ndizi za nyama nyingi
Hahahaha , uje uchagani utaoga na nyama kila sikuπHapo kwenye nyama awwwwww!!!
Ukija tunajifungia ndani , ni kula tuπKwa nyama tu nakuja fastaaaaa
Navopenda kula sasa mwenyeji utajuta kunialika!!Ukija tunajifungia ndani , ni kula tuπ
Mim mvivu kupika hatari nilisha kaa miezi miwil sijapika na kwenye frij kuna mazaga yoteπNavopenda kula sasa mwenyeji utajuta kunialika!!
Sasa mimi kwenye kupika sitakagi mzahaa ni kupika nakula tu stakagi jua vingine!Mim mvivu kupika hatari nilisha kaa miezi miwil sijapika na kwenye frij kuna mazaga yoteπ
Irudiwe ccy
Hiloooo umepitwaπIrudiwe ccy
Ccy atanitumia hata kwa watsap hanaga bayaHiloooo umepitwaπ
Bintislow bt sure