ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,580
- 41,726
Kazi kweli kweliNan ana mda na sura wewe gari ni injini
Mmejaa sana humu, wakati sie wadada tulikua na kakikao chetu 😂Mnaenda wapi sasa? 😁
Nakuona unapita kimyakimy
Sasa na sisi si tunaselfika 😅Mmejaa sana humu, wakati sie wadada tulikua na kakikao chetu 😂
Mbona hatujawaona, tupieni hivyo viselfie vyenu sasaSasa na sisi si tunaselfika 😅
🤣🤣🤣🙌unazinguaMama wachungaji wa mwendo kasi
Tunasubiri na vijana mjiachie bnMnaenda wapi sasa? 😁
We binti ujue huu uzi naupitaga kama naaga maiti sijui ni pepo gani leo 😆 nakemea kwa jina la YesuPita shemeji..
We ni kuwasha moto tu mwishowe tuungue!
Kapikeni mi mtanikuta kwenye kupopoa hawa viumbe wanataka kutuzoea😂Yeah
Ngoja tupike
Tutakuja na pt 2
Yani nimeshangaa ghafl tu wametia timu wametelekeza wanaume wenzao kule! Vikao vyao hatuwaingilii ila vyetu sasa huwakosi! Anzisha ata nyuza za ovulation wapo😂🙌🏾 Kama huyu foff sijui ana notf gani kila muda kajaa tele huku🏃🏽♀️🏃🏽♀️Mmejaa sana humu, wakati sie wadada tulikua na kakikao chetu 😂
Nikuanzishie sala ya toba 🤣Kwa hali hii naona nikmpokea yesu kabisa 🤔
Kwahiyo akikujua? Or else kakuoa! Kwani unafanya mapenzi nje au😂We mi sirudi tena isije kua kuna mtu ananijua humu akiangalia vizuri picha atahisi huyu si fulani 🙌😆 japo sio sura kuna watu wanakalili noma
HallelujahNikuanzishie sala ya toba 🤣
Niombe na kaka yangu Mshana Jr akuwekee mikono kichwani, uokolewe dhambini 🤣
Naunga mkono hoja mtani😀Hallelujah 💪🏿😂 hakuna mkate mgumu😂
Pole sana unakosa vingi! Au basi😂We binti ujue huu uzi naupitaga kama naaga maiti sijui ni pepo gani leo 😆 nakemea kwa jina la Yesu
Nachanganyikiwa mjukuu wanguKwahiyo akikujua? Or else kakuoa! Kwani unafanya mapenzi nje au😂
Mpaka sasa mama wachungaji 3 , wasio okoka 0🤣🤣🤣🙌unazingua