najiuliza mshangazi aliwezaje kujipiga ile picha maan ni maeneo hatari🤦♀️ alafu kalala mezani,, sa angeteleza adondoke na skonkiko zake sijui angemlilia nani🙄😁

nimeumia mtu katuma picha kwa upendo kabisa kwa ba mtu,, ba mtu nae akili za panzi kaenda kumsimulia rafiki ake na evidensi juu😪😆😆😆😆 si bora asingetuma ushahidi🥴🤭