Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,209
Muongo wewe ulikuwa online mkuuSisi wenyewe tulikua job
Mimi ni online 24hrs mkuuMuongo wewe ulikuwa online mkuu
Wale watu wa kule na zile sura wangekukamata ungeita maji mma aisee..!! πΉπΉπΉIyo iyo ya kuelekea kyela.
U can imagine miaka 2009_2011. Ilikuaje.( Afu Kule kulinikomaza sana ndio mana siku hizi chaka lolote na survive.)
Hahaha fix Tena!!
Hapo sijakuelezea nilivyopokea kichapo kikali nusu ya kifo Toka kwa wananchi wenye hasira Kali.( Siku ntaleta history zangu jf story sema sio mwandoshi mzuri)
Kipondi icho ishu za kuchuna ngozi mbeya zilikua juu.Wale watu wa kule na zile sura wangekukamata ungeita maji mma aisee..!! πΉπΉπΉ
Hebu kabla hujaileta nisimulie kidogo WhatsApp nicheke π€£
βΊοΈβΊοΈHahahahah kaone
Upo Bia ya ngapi sahii?βΊοΈβΊοΈ
No leo ni mzima wa afya kabisaπ€£Upo Bia ya ngapi sahii?
ππ basi vizuriNo leo ni mzima wa afya kabisaπ€£
Kesho uje tulewe woteπππ basi vizuri
Nitazimia nahisi ππKesho uje tulewe woteπ
Nitakupepea rasii ,ukiwa na mimi utakua salama tuπ€Nitazimia nahisi ππ
Utanishtua basi πNitakupepea rasii ,ukiwa na mimi utakua salama tuπ€
Utaniambia nikushtue sasaπUtanishtua basi π
Si kama kawaida RasUtaniambia nikushtue sasaπ
itabidi tubadili mfumoπ€Si kama kawaida Ras
Upi tena Ras?itabidi tubadili mfumoπ€
Mhmm rasiiUpi tena Ras?
Ila cantry, mbona kikao cha dharura.Kiitishwe kikao cha dharula kujadili coca pesa katoa wapi haraka haraka hivi wakati alikua omba omba humu