Wewe pita tu chapSiku hizi nimeachia ndevu kama yohana mbatizaji nikipita humu nitachekesha walio nunaπ
Ngoja badae nikienda kilabuni kupata machicha kidogo π kichwa ikae mwake kwanzaWewe pita tu chap
Hiyo badae nitaona vumbi tu ππNgoja badae nikienda kilabuni kupata machicha kidogo π kichwa ikae mwake kwanza
Nikilewa mimi mzungu wewe πππ labla tu nichanganyiwe habariHiyo badae nitaona vumbi tu ππ
Sawa Ras, basi acha nisubiri ukilewaNikilewa mimi mzungu wewe πππ labla tu nichanganyiwe habari
Leo nina ngunga na bia za moto hatari π€Sawa Ras basi acha nisubiri ukilewa