Min umeanza lini uswahili lakini!??Nasubiri moja ya kwako kwanza
Ole wako ujaribu utachezea kipigo cha msela ushangingi wote utakuishaa πΉπΉπΉHaa haaa, hapo kwenye kunioa mimi ndiyo kipengele.
Labda umuoe mtoto Ephen
Umesahau umbea ndio hobby yangu? πΉπΉπΉAcha umbea
Tulia nijingakulie mtoto mzuriUmesahau umbea ndio hobby yangu? πΉπΉπΉ
Utapigwa Mangi mali zingine haziguswi ohh!!Tulia nijingakulie mtoto mzuri
Mambo rasi
Powa tu, ulipotelea wapi?Mambo rasi
Tulia nijipigie zangu mipasi mdogo mdogo usiharibu na weweUtapigwa Mangi mali zingine haziguswi ohh!!
Nilitekwa na mshangazi rasii wanguPowa tu, ulipotelea wapi?
πππ huyo mshangazi inabidi atafutwe popote alipoNilitekwa na mshangazi rasii wangu
Mpaka natekwa na mshangazi sijui ulikua wap rasiiππππ huyo mshangazi inabidi atafutwe popote alipo