Mi nimekoma nimekaa ndani mpaka nimechoka nimezurura Insta mpaka sioni kipya tena nimezurura facebook mpaka nimechoka, you tube nimeangalia hadi show za zamani za kina Franco Lwambo Makiadi. Ila at least tangu juzi na jana kuna muda tunazurura