Hivyo hivyo ulivo mi nakuelewa ebu fanya jambo alafu namimi ntahakikisha mwaka huu nakulimia bure, kukupa mbegu bure na kunyeshea katika shamba lako kule shy town.Nina mashavu kama mimba ya panya naona aibu kupiga picha ππ
Hii supu mkuu mshana unakunywa saa tisa usiku
π€£π€£π€£π€£Pofu kama Pofu. Niliona mmewekewa na wildlife hapo inajina Kamala kikosi, sasa hivi mnawapataje au ndio ujirani mwema?View attachment 3489561
Fake P embu toa wazo hii niifanyaje ili isije haribika ase kote kumejaaa leo ungekuwepo ungenona
π€£π€£ now wanazagaa ovyo majan hamna so wakaomba tu kibari wakaingia porini khanga wame tapakaa tuπ€£π€£π€£π€£Pofu kama Pofu. Niliona mmewekewa na wildlife hapo inajina Kamala kikosi, sasa hivi mnawapataje au ndio ujirani mwema?
Khalas π
Hii ni nini? πTupo kwenye Confusedship...
Relationship imeishaππ
Hii comment ulipaswa uisindikize na nyimbo ya Mbosso-Picha Yake.Utakuja ufe kichwa weweπ€£π€£
Inabana πKijana wetu Razorblade ana sikitisha sana, kiufupi ana piga pipa ππ€£
Daah! Nipo dilema πMuongoo huyoo!! ππππ
Nipe muda na siku tu ma mtu maana bila hivyo inaweza nipita tena.Pole si unajua hapa hatuachi picha muda mrefu
Nitakutag tena
Anayo siku nyingi mbona na sasa imekomaa πUneanza lini roho mbayaπ
Maybe your situationship is citizenship πOr what is our situationship??πππ
Labda mkono wakoInabana π
ππ Naikumbuka vizuri