Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
Tiaraei wanakuwaga wapuuzi muda mwingine.

Usichoke nkamu wangu
Tubadilishane
Nirushie ya Ibu, nakupa ya Dokta.
Ibu picha yake sikusave ila ni mwenyeji selfika na JF kwa ujumla 😹😹😹

Huyo dr achana naye na picha lake 🀣
 
Ngoja nikupe picha Nkamu
Tiaraei uhangaike,
Kariakoo uhangaike
Na hapa selfie uhangaike?
UsihangaikeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
😹😹😹
TRA wapuuzi sana, wanakukadilia kodi mpk unajiuliza nauza ndege??
Mi nawachamba mpk wanaona aibu wanapunguza..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…