Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,014
- 41,373
ππDr am 4 real PhD nimekuona bonge la HB ndugu yako asingeniwah ningekupa mdogo wanguπ€
mdogo wangu hawez kusheaa na ulivyo na sura ya upole atakutesa sameja wanguπ€£π€£π€£ππ
Nashukuruu.
Mimi muislamu naoa zaidii ya mke mojaa..
Miaka ya ivii karibuni ndio nimechangamka changamka... Ujue Mimi na bro min -me , tunakunywa vinywaji changamshii π₯ sikuizi sura ya upole inapungua punguaπππmdogo wangu hawez kusheaa na ulivyo na sura ya upole atakutesa sameja wanguπ€£π€£π€£
unaonekana hata kuongea nawatu ni kaziπ€£π€£Miaka ya ivii karibuni ndio nimechangamka changamka... Ujue Mimi na bro min -me , tunakunywa vinywaji changamshii π₯ sikuizi sura ya upole inapungua punguaπππ
Indeed watu wengi husema Nina sura ya upole..sijui kwa nini unaweza kuelezea
Ngoja nijiangalie tena mbona unaniogopeshaa πππunaonekana hata kuongea nawatu ni kaziπ€£π€£
"ukitaka kujua tabia yako muulize jirani maana nakufaham zaidi ya wew unavyo jifaham"πππππNgoja nijiangalie tena mbona unaniogopeshaa πππ
Haaahaa π π na sura ya upole lakini nimechangamka nipo sharp πͺ πͺ."ukitaka kujua tabia yako muulize jirani maana nakufaham zaidi ya wew unavyo jifaham"πππππ
wew utajiona wa kawaid
Haya nimekujaπ Saint Anne , Kuna jambo letu ukiwa online tuchekiane.
Bado upo eeeeHaya nimekuja
NipoBado upo eeee
Huyu ndio nanii
Umecheka nini ππππDr am 4 real PhD nimecheka sanaaπ€£π
Kwanini sasa hujaficha sura?Umecheka nini ππππ
nyie huwa ni wabaya sana "silent killer " π ππHaaahaa π π na sura ya upole lakini nimechangamka nipo sharp πͺ πͺ.
Yesi watu wengi husema Mimi ni good behave personnel na hata nimewai kusamehewa shuleni adhabu na walimu maana tulipo angaliana wakasema sina hatia π€£π€£π€£