Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,020
- 41,427
Kweriiiii π π nafurahi kusikia hivyo brotherNipo mkuu , nimejituliza tu hapa bwashee
Najitahidi Sasa kuwwpoTunapishanaa ππ
Muweke selfie sasaNipo mkuu , nimejituliza tu hapa bwashee
Nimepunguza KAZIII upo onlineNajitahidi Sasa kuwwpo
Weka
Acha blah blah Sasa
πππππ
naomba nione tabasam halisiπ€ achana na hilo la emojiππππ
Nimeweka na kufuta itarudiwa baadae.naomba nione tabasam halisiπ€ achana na hilo la emoji
tabia ya uongo umeanza lini shemπ€£π€£π€£π€£Nimeweka na kufuta itarudiwa baadae.
muongo bwana ushafundishwa utapeli π
Diko limenyooka kabisa, sema kuna maisha unapitia kiasi kwamba mwanamke akipika kitu hakieleweki unabaki kumuangalia tu πππma jobless pro max
dosho12, Edo kissy, Razorblade, Selikavu, Vishu Mtata
Bon appetit comrades
View attachment 3464761
Kwani nime sema naoaπ¦Diko limenyooka kabisa, sema kuna maisha unapitia kiasi kwamba mwanamke akipika kitu hakieleweki unabaki kumuangalia tu πππ
Ndiyomaana sijasema mke nimesema mwanamke πKwani nime sema naoaπ¦
Huku uki sema nime chafua tumbo langu, it happen sometimes una kula msosi wa ajabu ajabuNdiyomaana sijasema mke nimesema mwanamke π
Unaalikwa msosi mahali unakula msosi huku unasikitika na ukitoka hapo unajipiga kifuani mara 3 πππ