Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdogo angu 😁 Monetary doctor , Jana nilimwambia natembea juu ya mayiii πŸ˜‚πŸ€£

Nili MAANISHA nipo napiga pombe mdogo angu😊πŸ₯Ί

Amani itawaleee
 
Hata usinipambe na mimi nataka pesa 😹
Yani Bado unataka zingine cute hahaha

Kuna dada mmoja aliwahi nipangishia nyumba yake nzima, naye akaenda kupanga chumba seble maeneo ya kibamba na msela wake.

Nikawa nacheka peke yangu najisemea kama jamaa alifuata mjengo wa dadaa, tiyari kaishapigwa chenga ya mwili. Wanawake ni konyo.
 
Pesa hazitoshagi chino wangu 😍πŸ₯°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…