We ni mgodi wa madini!๐น๐น๐น Na mi napenda ndalama
Mifukoni nimetakata ngoja nikapige konyagiiii kimtindo hapa ๐๐Dr am 4 real PhD pombe tamu bwashee
Nimekuchanganya na lembu, Mzee wa Chelsea.Alafu unachanganya madesa,,,,mm sio Chelsea ni utd ,,,, tunapitia kipindi kigumu/mpito(transition) lakini tutakaa sawa tu ! ๐ ๐
Yaaan nimeona nyama nyama laini teketeke yaaan kitu kienyeji flaaan amazing๐น๐น๐น Sasa hapo si umeona nilivyodondokea bafuni mifupa tupu..!!
Kaa kwa kutulia,,,, tunapitishwa kwenye tanuru la moto, lakini tunarudi tu kwenye ubora!๐ ๐Nimekuchanganya na lumbu, Mzee wa Chelsea.
Kama ni United nyie timu ifutwe tu maana inaenda kushuka daraja mwaka huu๐๐
Ubora Gani?๐๐๐๐๐Kaa kwa kutulia,,,, tunapitishwa kwenye tanuru la moto, lakini tunarudi tu kwenye ubora!๐ ๐
Hata usinipambe na mimi nataka pesa ๐นWe ni mgodi wa madini!
Chino akiwa nawe
lazima anukie harufu ya pesa tu.
๐น๐น๐น unafki haukupendezi kabisaa..!!Yaaan nimeona nyama nyama laini teketeke yaaan kitu kienyeji flaaan amazing
Mzee mwenzangu WA hall V anamacho saaaana
Punguza sauti basi Ms Liverpool๐Ubora Gani?๐๐๐๐๐
Nyie labda muanze kwenda kwa Mwamposa akawamwagie mafuta ๐๐๐
Hii man U ya sasa inaweza kupigwa hata na Majimaji FC
Nisamehe๐๐๐๐น๐น๐น unafki haukupendezi kabisaa..!!
Yani Bado unataka zingine cute hahahaHata usinipambe na mimi nataka pesa ๐น
Ukitaka nipunguze Sauti weka selfie yakoPunguza sauti basi Ms Liverpool๐
Easy flan to carry hahaha๐น๐น๐น unafki haukupendezi kabisaa..!!
Naweka mimiUkitaka nipunguze Sauti weka selfie yako
Mara ya 3 hii nakuomba selfie ila hutaki kuweka.
Kaka leo nimekula vitu kinouma ๐ ๐Naweka mimi
Mxiewwww ๐น๐นEasy flan to carry hahaha
Kukunjika kunjika kwenye....
Sio shida zako.
Pesa hazitoshagi chino wangu ๐๐ฅฐYani Bado unataka zingine cute hahaha
Kuna dada mmoja aliwahi nipangishia nyumba yake nzima, naye akaenda kupanga chumba seble maeneo ya kibamba na msela wake.
Nikawa nacheka peke yangu najisemea kama jamaa alifuata mjengo wa dadaa, tiyari kaishapigwa chenga ya mwili. Wanawake ni konyo.
Lamo pombe tamu leo nimewaka mbaya mbovu arifu๐Mxiewwww ๐น๐น
Nikunjike samaki mimi..!!