Wee dyadyaa si umuibukie maeneo yake,
Asikuletee giza au mambo meusii, afanye kukupa mzigo wako.
Km vipi chukua yake, hakuna kulembaa.
πππππ
Hii ngoma nzito unaweza kupata kesi na haki za binadamu hivi hivi aiseee..!!
Biashara inataka moyo wa chuma, huku mchina pembeni bank mbele matapeli.
Km INEC, NIDA na CCM πΉπΉπΉ
Hii ngoma nzito unaweza kupata kesi na haki za binadamu hivi hivi aiseee..!!
Biashara inataka moyo wa chuma, huku mchina pembeni bank mbele matapeli.
Km INEC, NIDA na CCM πΉπΉπΉ