kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,821
- 20,821
Pole sana , unywe na maji mengi baridi , ukilala ukiamka utajisikia powa! Uwe unakunywa weekend tu π π‘Just trying kuondoa hangover. Lakini waaapi
View attachment 3454559
Chapati ngumu izo naziona tu πMie kazi yangu kuwakumbusha Tu kulaView attachment 3456059
πππ kabisaNa wangu wameufunga...π€£
Bora tukaendelee kule jukwaa la mapishi tu...π
kwani wanaufungua na kufunga? mbona nimeona reply ya 5min ya bwana 100 othersUshimen uzi wa britican tuujadili hapa π
Ndiokwani wanaufungua na kufunga? mbona nimeona reply ya 5min ya bwana 100 others
kwahiyo wanatudodishiaπ€£π€£π€£Ndio
Leo natengeneza ID ya matukio.. nitengeneze ID mbili ..kwani wanaufungua na kufunga? mbona nimeona reply ya 5min ya bwana 100 others
utaweza kuzihendo? au utachangany mafile kila siku dia wanguπ€£π€£π€£Leo natengeneza ID ya matukio.. nitengeneze ID mbili ..
Ahaha awe mnidakekwahiyo wanatudodishiaπ€£π€£π€£
enweii ebu selfika
aloooooooo nimechekaππππππππ basi selfika hata chapoo za janqAhaha awe mnidake
Jua kali etaloooooooo nimechekaππππππππ basi selfika hata chapoo za janq
pole ila huku kijijin kwetu pamepoa mno hakuna jua la kushangazaJua kali et
pole ila huku kijijin kwetu pamepoa mno hakuna jua la kushangaza
Potelea pote.. nikichanganya mafile ujue ajali kazini..utaweza kuzihendo? au utachangany mafile kila siku dia wanguπ€£π€£π€£
I see,, sema nini unaishi buanaaa,, jana sijui juzi nimeona picha ya sitting room yako nikatoka udenda π€£π€£π€£π€£π€£