Hata simjui nazurura tiktok namkuta tuπ€£Huyu mchungaji gani Mangi?
Eti "Kumbe ana kijiji, akiwapakia mwendo kasi mnajaa na kubaki π π π"
Huyu mchungaji gani Mangi?
Eti "Kumbe ana kijiji, akiwapakia mwendo kasi mnajaa na kubaki π π π"
Daaah, hatari sana πHata simjui nazurura tiktok namkuta tuπ€£
Umeshalala?Nimecheka mpaka tumbo limeuma, daaaah π
"Huna urembo, wewe ni mteremko" ππππ hadi kwenye majumba ambayo hayajaisha bado, wanakulaza laza kama una kifafa π
Huyu mchungaji πππ
Cheersπ»Ndiyo,rudia tu picha
Najua wewe mlevi,japo hunamzidi kaka yangu MLEVi Mmoja, @Billdrago Jack Palladino na Kalumbu geraldincredible
Njema saana,πAsante sana,za masiku mpendwa
jokes banared na wew ushaambukizwa uchawi π€£π€£π€£π€£
ππππ₯° Wifi HongeraHebu nitag kwenye huo uzi mwenzio nalea kwa sasa hata kushika simu uvivu dogo ni mliaji hatari π©
Kweli bana πΉπππ wee muongoo!!
Nitupie nikiwa nahesabu magunia ya mahindi au? πΉπΉπΉUkitupia, na mie natupiaa uduguu. ππππ
Tutakoma tusio na magari safari hii πΉπΉπΉ
Umependeza daddie πΉπΉπΉ
Picha iko wapi?
Picha hakuna lamoPicha iko wapi?