Selfika na JF: Snap it. Show it

Una jali kuwa na pesa au kuto kua nazo? Maisha ni haya haya mimi nikikosa pesa kwanza ndio najiona nakua na akili timamu, maisha leo unapata kesho unakosa , wala hakuna kujifananisha ni ku fokasi tu na mambo yako๐Ÿ˜‡
Inategemea unakosa pesa kiasi Gani.
Kuna kipindi nakuwa sina hata jero ya bando.
Lazima ukonde.
 
Hunaje hela biz woman bhana
Siku ya kurestock ndio uwa hela zinapepea. Na kesho zinaanza kujaa tena
Depal
Mimi nilipata kitambi Cha profesa
Na katwiga cement kwa mbali
Ila sasahivi sina hela,nimerudi tena kulekule kwenye 55.

Byurifuuu Depo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Asante kwa kurudia Dada Dimpoz
 
Aloo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Nywele umewekaje?
Tuzuri sana
Mm pia nimenyoa ila ngumu kama katani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kuchana ni mshikemshike
Weka basi juicy curly kama ni natural hair
Utawakaa
Mawimbi mawimbi mda wote
Unakuwa msomali wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ