Nshafutaa usijariiii dear.ππ, naomba nisaidie kufuta hii comment kwanza
Duuuh hongeraaa sanaaa!!Ilitokea ivyooo so ikabidi ni accept pia ukoo wetu ni mdogo natamani kua na watoto wengi.
Unajua Mimi na wife baada ya ndoa tulikaa kama miaka miwili bila mtoto so ndio tukapata so mtoto ana miezi sita akapata ujauzito tena
In short ni ivyooo
Wakaka wa JF ktk uboraa wao. π₯π₯π₯
ππ asante, wameniwahi tayariNshafutaa usijariiii dear.
Naona nitafute mchepuko hata mmoja ππDuuuh hongeraaa sanaaa!!
Hapanaa bhanaa. LolNaona nitafute mchepuko hata mmoja ππ
Oooh usha wahiwa dear, kwa kweli mtoto mzuri km wee unakuaje single sasa? Lolππ asante, wameniwahi tayari
Na EP ya nyongeza ππ€£πΉπΉπΉ Album yenye nyimbo 14 π€£
Naaaam Dr
Mbona Leo hamlali marafikii wotee wamelala nowHapanaa bhanaa. Lol
πππππ
πiko π₯π₯π₯Madungu jeshi kama kawaida.View attachment 3437941
Nikajua umelala??Naaaam Dr
Uhakika Mungu ndiye anayejua......
πππππMbona Leo hamlali marafikii wotee wamelala now
Kwanini isiwezekane? π€£π€£π€£Oooh usha wahiwa dear, kwa kweli mtoto mzuri km wee unakuaje single sasa? Lol
πππππ
Aaah wapiii!! Haiwezekaniii!! ππππKwanini isiwezekane? π€£π€£π€£
Hapana ndo navuka..... Nimetoka kino,,,Nikajua umelala??
πππ kawaida tu jamaniAaah wapiii!! Haiwezekaniii!! ππππ
Mudaa umeendaaHapana ndo navuka..... Nimetoka kino,,,
Mwenyw mke wangu ananyonyesha na ni mjamzito miez minne π©Wee binti ana mwaka, na mkeo ni mjamzito? Sijaelewa? Mbna unapandanisha km CD kwa DJ mixer?
πππππ