Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeamka mzee mwenzangu...
Nimeamka ile kiume, msumali umegamgamala halafu nakuta picha yako, leo nitaishi kwa tabi sana kila nikiukumbuka huo mguu, hilo paja πŸ˜‹πŸ˜‹
😹😹😹
Mzee mwenzangu piga selfie upoze machungu..!!
 
Thanks 😍😍
Ila maisha haya,.
Huwezi amini wewe ndio umenikumbusha kama Leo Sunday 🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
Hangover hizo 😹
 
Toka hapa unatuona waumini wa Kapola 😹😹
Hakiya nani vile,
Nina miezi 6, kazi yangu ni kuliosha osha kwa maji safi na sabuni, kulipalilia.. baasi
Linafanya kazi ya EXCRETION tu.. ila sijalitumia kwa kazi ya KUHONDOMOLA kwa miezi 6 na chenji.
 
Jitahidi bana mbona betting mnaliwa ila bado hamkati tamaa..!!
Utanikosa ujue maka 😹😹
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Betting ni uwekezaji, kuna kupata na kukosa, na sijabeti ile serious mwaka wa 3 sijui wa pili huu.

Nitakukosa sababu we hunitaki, maana hapa nikikumbuka mitongozo ya PM, nikibadili kuwa mistari, saa hizi nina album ya nyimbo 14, ngoma zote kaliii
πŸ˜‚πŸ€£
 
😹😹😹 Album yenye nyimbo 14 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…